BBC MITIKASI LEO 25.11.2022

  • | BBC Swahili
    3,278 views
    Na Hamida Abubakar: YALIYOMO..Mtanange wa Kombe la Dunia waiingia siku yake ya sita Ijumaa wiki hii nchini Qatar, huku Timu kutoka Afrika zikishindwa kuandikisha matokeo chanya. Kisha Shule zote nchini Uganda zafunguwa wiki mbili kabla ya muhula wa shule kukamilika baada ya zaidi visa Ishirini vya Ebola kuripotiwa miongoni mwa wanafunzi.