BBC MITIKASI LEO 28.11.2022

  • | BBC Swahili
    4,289 views
    #DRC #M23 #JumuiyaYaAfrikaMashariki #PeterMwangangi #EAC Mazungumzo yanayolenga kuleta amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yameng'oa nang'a Jumatatu hii katika mji wa Nairobi, Kenya. Viongozi kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana kwa majadiliano kwa mara ya tatu katika juhudi za kuafikia amani na usalama. Mkutano huu unajiri siku chache baada ya viongozi kutoka jumuiya hii kuafikia kusitishwa kwa mapigano katika mkutano uliofanyika nchini Angola. Na Peter Mwangangi.