BBC MITIKASI LEO 30.09.2022

  • | BBC Swahili
    1,721 views
    Na Hamida Abubakar. YALIYOMO: Ripoti za uwezekano wa mapinduzi za tanda Burkina faso, huku milio ya risasi ikisikika karibu na ikulu ya rais!.Kisha mahakama ya haki ya Afrika Mashariki,yatupilia mbali kesi iliyofunguliwa na jamii ya Wamasai wa Loliondo kaskazini mwa Tanzania.