BBC MITIKASI LEO JUMANNE 07.04.2020

  • | BBC Swahili
    #Lockdowneffect #Coronavirus #Tanzania #Nairobilockdown Na Peter Mwangangi: Kenya yaanza kutekeleza marufuku ya kuingia na kutoka katika baadhi ya majimbo yake kutokana na visuri vya corona. Nchini Tanzania, watu wawili waliokuwa na ugonjwa huo wamepona.