BBC MITIKASI LEO JUMANNE 31.03.2020

  • | BBC Swahili
    #coronaviruskenya #Tanzania #coronavirus #BobiWine #Lockdown Na Peter Mwangangi. Serikali ya Tanzania imethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa virusi vya corona. Pia tunamulika juhudi za uhisani katika kupunguza athari za virusi vya corona, pamoja na jinsi watu walio na mapato ya chini katika sekta zisizorasmi wanapambana na hali hii