BBC MITIKASI LEO JUMATANO 08.04.2020

  • | BBC Swahili
    #Coronavirus #Covid19 #Tanzania #Kenya #Coronaviruske Na Peter Mwangangi: Bunge la Kenya limefuta kikao maalum kutokana na virusi vya corona. Pia tunakufahamisha kuhusu suluhisho za kiasilia kukabiliana na ugonjwa wa corona barani Afrika na mengine mengi.