BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    656 views
    Kutana na Ma DJ walemavu Vj robzy kimotho na Dj skylla ambao licha ya kwamba mmoja ana ugonjwa wa kupooza ubongo, anatumia kidole kimoja kuburudisha watu katika matukio mbalimbali na mtandao wa TikTok. Mtangazaji wa BBC Christine Ntayiai aliwatembelea na kuandaa taarifa hii. 📹 Brian Mala. #bbcswahili #kenya #ulemavu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw