BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    2,469 views
    #bbcswahili #diratv #habari Japo mikutano kadhaa ya kujaribu kusitisha vita kati ya Ukraine na Urusi imekuwa ikiandaliwa na kusimamiwa na Marekani, Mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine yameendelea kutokea, hali ambayo imekasirisha Rais wa Marekani Donald Trump. Trump ambaye anakutana na uongozi wa jumuiya ya kujihami NATO leo, anatarajiwa kutoa tamko kuhusu Urusi kuendeleza mashambulizi zaidi. Je, unadhani huenda akaiwekea Urusi vikwazo zaidi? Jiunge naye @martha_saranga saa tatu usiku wa leo mubashara kwenye Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wa YouTube, BBC Swahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw