Skip to main content
Skip to main content

BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    12,651 views
    Duration: 1:37
    Mataifa kumi na ndoto moja ya Afrika katika Kufanya vizuri kwenye kombe la dunia la 2026. kwa mara ya kwanza Afrika itawakilishwa na mataifa kumi badala ya matano ilivyozoeleka. @loko_omi anaelezea kwa kina. Je taifa gani unategemea litafanya maajabu kombe la dunia 2026? #bbcswahili #WC #Soka Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw