- 15,931 viewsDuration: 1:46Ikulu ya Marekani imethibitisha kuwa Marekani inaanzisha kituo cha afya nchini Kenya kitakachopokea Wamarekani waliokumbana na virusi vya Ebola kutoka maeneo yaliyoathirika na mlipuko huo. Hata hivyo Kenya ilikanusha kuwa imekubali kuweka karantini ya wamarekani walioambukizwa ebola #bbcswahili #ebola #ebolavirus Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw