BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    770 views
    Tazama namna Vanilla, sokwe mwenye umri wa miaka 28, alivyotoka nje kwa mara ya kwanza baada ya kukaa ndani ya kizimba chake kwa miaka yote hiyo. Ni mmoja wa sokwe walionusurika kutoka Maabara ya New York ya Madawa ya Majaribio na Upasuaji katika wanyama (LEMSIP). Vanilla na dada yake, Shake, wana makazi mapya katika kisiwa chini ya Save the Chimp huko Fort Pierce, Florida. #bbcswahili #savethechimp #wanyama #sokwe