BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    1,212 views
    Miaka 10 iliyopita tarehe kama ya leo, nchi ya Kenya ilikumbwa na mkasa wa moja ya maduka yake makubwa ya Westgate jijini Nairobi kuvamiwa na kundi la Al-shabaab. Takriban watu 67 waliuawa, na zaidi ya watu 200 walijeruhiwa. BBC imekuandalia video inayoonesha mkasa mzima ulivyotokea na jinsi watu walivyoweza kuokolewa. #bbcswahili #kenya #westgate Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
    shabaab