BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    6,611 views
    'Kwa nini wanatupiga kwa mabomu?' Gaza imebadilika na kuwa vifusi Mashambulio ya Israel dhidi ya Gaza yamekuwa makali kiasi kwamba vitongoji vyote tayari vimeharibiwa kabisa. Mwandishi wa BBC Adnan al-Bursh alifika kitongoji kimoja katikati ya Gaza ambapo magorofa 32 ambayo yalikuwa na takribani watu 5,000 yameharibiwa katika usiku mmoja. - - #bbcswahilileo #Isrel #Gaza #Hamas #Palestine #Israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw