BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    838 views
    Kuku wa kuaoka almaarufu kuku wa ndoo ni kitoweo pendwa kwa wakazi wa mji kasoro bahari, mkoani Morogoro nchini Tanzania. Mohamed almaarufu Rasta msafi alianza kufanya biashara hii ya kuku wa kuoka mwaka 2005 kwa kuku watatu hii leo anauza zaidi ya kuku 170 kwa siku wakiwa pamoja na utumbo wa kuku vichwa na miguu. Mwandishi wa BBC Eagan Salla alikua mkoani Morogoro hivi karibuni na hii ni taarifa yake #bbcswahili #kuku #vijana Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw