Skip to main content
Skip to main content

BBC yafichua Waganda wanaotumia mbwa ili kuomba michango ya pesa

  • | BBC Swahili
    6,377 views
    Duration: 1:19
    BBC Africa Eye imegundua kuwa matapeli mtandaoni nchini Uganda wanawatumia mbwa waliojeruhiwa kama Russet ili kuwadanganya watu katika mitandao ya kijamii kutoa pesa ambazo hutumia katika maisha yao ya kifahari. Kuachiliwa kwa mbwa Russet kuliratibiwa na watu wa mitandao ya kijamii walioko nje ya nchi mnamo Januari 2025. Hata hivyo, daktari wa mifugo aliyemchunguza baadaye alihisi kwamba majeraha ya mbwa huyo huenda yalisababishwa kwa makusudi Polisi wa eneo hilo walisema hapo awali wamechunguza ukatili wa wanyama katika makazi ya mbwa, ikiwa ni pamoja na kuwaokoa mbwa waliojeruhiwa. #bbcswahili #BBCEye #BBCAfrica Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw