BBI: Maswali yaibuka kuhusu hiari ya wanaotia sahihi mkataba wa BBI

  • | NTV Video
    Huku ukusanyaji sahihi kuunga mkono ripoti ya BBI ukiendelea nchini maswali yameibuka kuhusu iwapo wanaotia sahihi wamefanya hivyo kwa hiari au kwa kushurutishwa baada ya madai kuwa wafanyikazi wa serikali wanalazimishwa kutia saini hizo. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya