BCLB yasifia michezo ya Shabiki .com

  • | Citizen TV
    218 views

    Bodi ya kudhibiti michezo ya kamare nchini imetoa agizo la kufungwa kwa shughuli zote za michezo hiyo ambazo hazina leseni. Mwenyekiti wa bodi hiyo Dkt. Jane Mwikali ametaja juhudi za mashirika kwenye ulingo huo kama vile Shabiki.com kama zenye umuhimu mkubwa katika jamii. Alizungumza katika hafla ya kuhakikishia jamii ya Koka utoshelevu wa maji huko Makueni ambapo kampuni ya Shabiki.com ilitoa matenki kwa taasisi mbalimbali . Mkurugenzi wa Shabiki.com Fred Afune aliahidi kuendeleza shughuli hiyo kote nchini.