Bei ya mafuta imeendelea kupungua kwa mwezi wa pili mfululizo

  • | KBC Video
    89 views

    Bei ya mafuta imeendelea kupungua kwa mwezi wa pili mfululizo, katika hatua ambayo serikali imesema inanuiwa kupunguza gharama ya maisha na kurejesha bei ya mafuta katika viwango vya kawaida. Tangazo hilo la halmashauri ya kudhibiti sekta ya kawi-EPRA litawezesha lita moja ya petroli kuuzwa kwa shilingi 193 na senti 84, huku diseli ikiuzwa kwa shilingi 180 na senti 38 na mafuta taa sasa yatauzwa kwa shilingi 170. Rais William Ruto ambaye alikuwa amehudhuria ibada ya Jumapili katika kaunti ya Nyeri amesema serikali imeanzisha safari ya kupunguza bei ya mafuta na gharama ya maisha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News