- 4,178 views
Ni afueni zaidi kwa wakenya baada ya mamlaka ya kudhibiti bidhaa za kawi na petroli kutangaza kushuka kwa bei za petorili, dizeli na mafutaa taa kwa mwezi mmoja ujao. Katika tangazo lililotolewa leo na katibu Mkuu wa mamlaka ya EPRA, bei ya mafuta ya petroli imepunguzwa kwa shilingi tano na senti 31. Dizeli imepunguzwa kwa jumla ya shilingi kumi huku wateja wa mafuta ya taa wakipata afueni kubwa kwani lita moja ya bidhaa hiyo imepungua kwa shilingi kumi na nane na senti sitini na nane. Jijini Nairobi, Petroli sasa itauzwa shilingi 193 na senti themanini na nne kwa kila lita huku dizeli ikiuzwa shilingi 180 na senti thelathini na nane na mafuta ya taa itauzwa shilingi 170 na senti sita. Mjini Mombasa petrol itauzwa shilingi 190 na senti sitini na sita huku mjini nakuru, bei ikiwa shilingi 192 na senti tisaini. Mkurugeniz mkuu wa EPRA David Kiptoo amesema wakenya watazamie kupungua kwa gharama ya umeme hivi karibuni.
Bei ya Petroli, Dizeli na Mafuta Taa yashuka
- - Duniani Leo ››
- - Duniani Leo ››
- 16 May 2025 - Former Nairobi Provincial Police Officer (PPO) Anthony Kibuchi has passed away.
- 16 May 2025 - Malian armed forces arrested and killed around two dozen Fulani civilians who were rounded up at a livestock market in a central region of the West African country, a local activist told Reuters.
- 16 May 2025 - Ukraine and Russia on Thursday or Friday are due to hold their first direct peace talks in more than three years.
- 16 May 2025 - Ukrainian President Volodymyr Zelensky said he had sent a team to Istanbul for the first direct peace talks with Russia in three years, but played down expectations of a breakthrough, saying Moscow was "not serious" about ending the war.
- 16 May 2025 - US President Donald Trump said Thursday a deal was close on Iran's nuclear programme that would avert military action, sending oil prices tumbling, as he boasted of raising "trillions of dollars" on a Gulf tour.
- 16 May 2025 - Trump claims that the jet will be displayed at his library, critics argue that this would violate the domestic emoluments clause.
- 16 May 2025 - Redundant staff are to be formally relieved of their duties after the lapse of a 30-day notice.
- 16 May 2025 - Kenyans grieve their lost kin, even as Murkomen circles in useless legalese
- 16 May 2025 - Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi has called on African diplomats to advance key reforms within the African Union (AU) and push for a transformation of the global financial system to better serve developing nations.
- 16 May 2025 - Social media and AI tools are reshaping hospitality industry