Bembea ya mtoto ilivyomsaidia pengwini kutembea

  • | BBC Swahili
    868 views
    Walinzi wa mbuga za wanyama wameokoa maisha ya pengwini kwa kumtengenezea bembea kama ya mtoto. Mama wa pengwini huyo alikufa wiki chache baada ya kuzaliwa. Pengwini huyo anayeitwa Flop hakuwa na nguvu na alishindwa kusimama jambo ambalo lilimfanya ashindwe kula pia. Tazama! #bbcswahili #wanyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw