Skip to main content
Skip to main content

Bendera zapeperushwa nusu mlingoti kumuenzi Raila Odinga kwenye sherehe za Mashujaa

  • | Citizen TV
    1,666 views
    Duration: 3:37
    Bendera leo zilipeperushwa nusu mlingoti kwenye sherehe za mashujaa kaunti mbali mbali, ambapo kauli mbiu ilikuwa kwa wakenya kuiga aliyowacha hayati waziri mkuu wa zamani Raila Odinga. Vile vile, magavana wa chama cha ODM walichukua fursa hiyo kutilia mkazo azma ya chama hichokuunda serikali ijayo