Bendi ya wanawake pekee Senegal

  • | BBC Swahili
    393 views
    Bendi ya wanawake peke yake katika taifa ambalo kila mtu anasema wanawake wasicheze muziki Bendi hiyo inaitwa Orchester Jigeen Ñi kutoka nchini Senegal inataka kuleta mabadiliko katika muziki wa kizazi kipya; #bbcswahili #muziki #senegal Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw