- 72 viewsDuration: 1:23Kwa miaka mingi wakaazi wa kaunti ndogo ya Nyatike katika kaunti ya Migori wamekuwa katika njia panda kupata maji safi ya matumizi. Benki kuu ya dunia imeanzisha mradi ya kusamabaza maji safi katika kila nyumba huko nyatike kaunti ya Migori.