- 48 viewsDuration: 1:26Benki ya KCB imeyadhamini makala ya mwaka huu ya mchuano wa raga wa wachezaji saba kila upande wa safari kwa kima cha shilingi milioni 4.5. Mkurugenzi wa fedha wa KCB James Mugo amekariri msimamo wao wa kukuza vipaji nchini. #NTVAdhuhuri Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya