Benki ya KCB yawapa misaada ya masomo zaidi ya wanafunzi 1,000 wa shule za upili humu nchini

  • | KBC Video
    7 views

    Benki ya Kenya Commercial imewapa misaada ya masomo zaidi ya wanafunzi elfu moja wa shule za upili humu nchini. Ufadhili huo umetolewa kwa wanafunzi werevu kutoka familia maskini ili kupiga jeki mpango wa serikali wa kuhakikisha wanafunzi wote waliofanya mtihani wa darasa la nane wanajiunga na shule za upili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive