Biashara haramu ya samaki wa sumu yazua wasiwasi Nakuru

  • | Citizen TV
    189 views

    Waziri wa Usalama, Kipchumba Murkomen, ameelezea wasiwasi mkubwa kuhusu biashara haramu ya samaki inayokutoka Ziwa Nakuru.