Biashara Huria: Nchi za Kiafrika zatakiwa kushirikiana

  • | KBC Video
    94 views

    Nchi za Kiafrika zinapasa kushirikiana katika utekelezaji mkataba wa biashara huria baina ya mataifa ya bara hili. Wazungumzaji kwenye mkutano kuhusu mikakati ya utekelezaji biashara huria baina ya nchi za bara Afrika walisema mkataba huo una matumaini makubwa kwa bara hili katika juhudi za kupanua soko la bidhaa kwa zaidi ya raia bilioni-1.4. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive