Biashara I Asilimia-25 ya bidhaa zinazouzwa mtandaoni ni ghushi

  • | KBC Video
    29 views

    Mkurugenzi Mkuu wa halmshauri ya kukabiliana na bidhaa ghushi Robi Njoroge, amesema asilimia 25 ya bidhaa ghushi humu nchini, sasa zinanunuliwa kupitia mitandao ya kibiashara na masoko ya mitandao, na hivyo kuwafanya wakenya milioni 22 wanaotumia mtandao humu nchini kuwa walengwa wakuu wa ulaghai. Na ili kukabiliana na tishio hili, Halmashauri hiyo kwa ushirikiano na mtandao wa kukabiliana na bidhaa ghushi nchini Uganda, wamezindua Programu kwa jina BLEEP ambayo inatumia teknolojia ya akili mnemba kuhakikisha ubora wa bidhaa, ili kuwasaidia watumizi na wafanyabiashara kubaini bidhaa halisi. Taarifa hii na nyinginezo ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive