Biashara I Dawa ghushi za kuuawa wadudu zatishia uzalishaji chakula

  • | KBC Video
    63 views

    Kenya inaimarisha uangalizi kwenye mipaka yake ili kukomesha ulanguzi wa dawa ghushi za kuua wadudu waharibifu. Bodi ya kudhibiti dawa za kuuawa wadudu inasema kemikali ghushi ambazo ni hatari zinazoingizwa humu nchini ni tisho kwa mifumo ya uzalishaji chakula. Bodi hiyo inawataka wakulima kutumia dawa zilizoidhinishwa pekee ili kuimarisha usalama wa vyakula. Taarifa hii na nyingine ni kwenye mkusanyiko wa taarifa za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive