Biashara I Kampuni ya Kenya Pipeline kuorodheshwa kwenye soko la hisa

  • | KBC Video
    14 views

    Serikali itaorodhesha kampuni ya Kenya Pipeline kwenye soko la hisa la Nairobi wiki ijayo, baada ya hatua hiyo kucheleweshwa kwa miaka mingi. Rais William Ruto amesema hatua hiyo imeidhinishwa na baraza la mawaziri, na hivyo kutoa fursa ya kuorodheshwa kwa kampuni hiyo ya mafuta inayomilikiwa na serikali. Rais Ruto alikuwa akizungumza wakati wa hafla ya kuorodhesha dhamana ya shilingi Bilioni 44.8 kwa uwanja wa michezo wa Talanta katika soko la hisa la Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive