Biashara I Kenya kuagiza Megawati 200 za umeme

  • | KBC Video
    4 views

    Wafanyakazi wanaostaafu wameshauriwa kudumisha uanachama katika vyama vya akiba na mikopo ndipo waendelee kufurahia huduma za kifedha zinazotolewa na vyama hivyo.Afisa mkuu mtendaji wa chama cha akiba na mikopo cha Dr. George Ochiri amesema wafanyakazi wengi uhama vyama vyao baada ya kustaafu,ilhali vyama hivyo vinaweza kuwasaidia kifedha hata baada ya kustaafu.Kwa habari hizo na nyingine ni katika mseto wa habari zetu za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive