Biashara I Manufaa ya maeneo ya viwandani magatuzini yaangaziwa

  • | KBC Video
    9 views

    Magatuzi yaliyoko Magharibi mwa nchi yametakiwa kubainisha bidhaa tatu muhimu zilizoongezwa thamani ambazo yangetaka ziwasilishwe kwa wawekezaji wakati wa kongamano la kiuchumi la eneo hilo baadaye mwaka huu. Waziri wa uwekezaji Lee Kinyanjui amesema kongamano hilo ni sehemu ya juhudi za kuharakisha utekelezaji wa maeneo ya viwandani kwenye kaunti kupitia ushirikiano na sekta ya binafsi. Taarifa kamili ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive