Biashara I Mipango yaekwa ya kukarabati viwanda vya utayarishaji ngozi kwenye magereza

  • | KBC Video
    80 views

    Mipango ya kukarabati viwanda vya utayarishaji ngozi kwenye magereza ya Kitengela na Kamiti inaendelea huku serikali ikinuia kuimarisha utayarishaji ngozi humu nchini. Hii ni sehemu ya juhudi za serikali za kuimarisha utayarishaji bidhaa za ngozi kutoka milioni-9 kwa mwaka hadi milioni-36 katika muda wa miaka mitatu ijayo. Kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa taarifa zetu za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive