Biashara I Mpango wa mbolea ya ruzuku kuimarishwa

  • | KBC Video
    38 views

    Sehemu ya ushuru unaotozwa mimea ya kilimo biashara itatumika kupiga jeki mpango wa mbolea ya ruzuku ili kuhakikisha inawafikia wakulima wa mashamba madogo. Taarifa kamili ni kwenye kitengo cha kapu la biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive