Biashara I Hazina ya NSSF yakadiria kufadhili miradi ya serikali

  • | KBC Video
    16 views

    Hazina ya kitaifa ya malipo ya kustaafu NSSF inashauriana na mameneja wa kampuni zinazosimamia mipango ya malipo hayo huku ikinuia kuanza kufadhili miradi ya serikali kwa kutumia pesa za umma. Meneja mdhamini wa NSSF David Koros anasema hazina hiyo itafanya mashauriano kuhusu mradi wowote ule wa umma kabla ya uwekezaji wowote. Kwa habari hizi na nyingine hapa ni mkusanyiko wa habari za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive