Biashara I Safari ya kutoka Mombasa hadi Nairobi kugharimu shilingi elfu 12

  • | KBC Video
    187 views

    Utalazimika kulipa shilingi elfu 12 kwa tiketi ya safari moja ya kutoka Mombasa hadi Nairobi katika treni mpya zinazotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni za Madaraka Express premium. Kampuni ya Kenya Railways imepokea rasmi treni nne za kutoa huduma za kiwango cha juu, treni tatu za kutoa huduma za watu wa kadri na treni 11 za abiria wa kawaida. Kwa hizi na habari nyingine ni katika mkusanyiko ufuatao wa habari za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive