Biashara I Serikali kuanza kulipa madeni yake mwezi Julai

  • | KBC Video
    32 views

    Wafanyabiashara wanoidai serikali wataanza kulipwa shilingi bilioni 149 katika kipindi kijacho cha matumizi ya fedha za serikali za serikali. Katibu katika wizara ya fedha Dkt Chris Kiptoo amesema fedha hizo ni sehemu ya shilingi bilioni 206 ambazo malipo yake yaliidhinishwa na kamati ya ukaguzi wa madeni ya serikali. Taarifa hii kwa kina ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive