Biashara I Shughuli za biashara zanakili viwango vya chini zaidi kwa miezi saba

  • | KBC Video
    59 views

    Shughuli za biashara zilinakili viwango vya chini zaidi katika kipindi cha miezi saba mwezi uliopita kutokana na maandamano yanayoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali ya humu nchini na kutodhibitika kwa sera ambako kumeathiri mauzo. Ripoti ya hivi punde kuhusu ununuzi iliyotolewa na benki ya Stanbic inaashiria kwamba biashara mpya pia zilizorota kwa kasi zaidi tangu mwezi Novemba mwaka jana katika hali ambayo huenda ikasababisha kupungua kwa imani ya wanabiashara na nafasi za ajira. kwa hizi na taarifa nyingine ni kwenye Mseto wa biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive