Biashara I Taasisi za kifedha zahimizwa kuongeza ufadhili kwa kampuni zinazosimamiwa na wanawake

  • | KBC Video
    2 views

    Taasisi za kifedha zinafaa kuongeza ufadhili kwa kampuni zinazosimamiwa na wanawake mtandaoni kama njia ya kuimarisha ujuzi wa teknolojia ya mawasiliano humu nchini. Mshauri wa kampuni ya Acyberschool Catherine Gitau anasema ipo haja ya kuanzisha hazina maalum itakayoangazia kampuni zinazosimamiwa na wanawake mtandaoni. Kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa taarifa zetu za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive