Biashara I Vyuo vikuu vyatakiwa kuziba pengo baina ya wasomi na kilimo

  • | KBC Video
    29 views

    Taasisi za elimu ya juu zinafaa kuimarisha mafunzo yao na kuwa vichocheo vya kujiandaa akwa hali halisi duniani kwa kuboresha uunganishaji katika mfumo wa kuongeza thamani katika kilimo. Huu ndio uliokuwa ujumbe mkuu wakati wa warsha ya kitaifa kuhusu elimu ya kilimo ambapo mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Elgon Kenya Dr. Bimal Kantaria alisema kuwa wanafunzi wanafaa kujiandaa sio tu kufuzu bali pia kuongoza. Kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa taarifa zetu za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News