Biashara I Wakulima kupata bima, mbolea kwa gharama nafuu

  • | KBC Video
    19 views

    Wakulima sasa watapata bima ya mazao pamoja na mbolea ya gharama nafuu baada ya wizara ya kilimo na ufugaji, kwa ushirikiano na kampuni za teknolojia ya kilimo, kuzindua mpango wa majaribio. Mpango huo unalenga kuwakinga wakulima wa mashamba madogo madogo dhidi ya athari za mabadiliko ya hali ya hewa, kwa kujumuisha bima moja kwa moja kwenye mpango wa kitaifa wa utoaji mbolea kwa gharama nafuu. Mengi ni kwenye mseto wa habari za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive