Biashara I Wanabiashara wataka mwongozo kuhusu ushuru

  • | KBC Video
    10 views

    Wenye biashara ndogo ndogo wanatoa wito wa marekebisho kwenye mswada wa fedha wa mwaka 2025,wakihimiza bunge kupitisha mapendekezo yatakayonusuru biashara kutoka hatari ya ukosefu wa pesa, na kuimarisha kuwepo kwa pesa.Shirika la kitaifa la biashara na wenye viwanda limeunga mkono hatua kama vile kupunguza muda wa kulipa madeni ambayo wakopaji wanakabiliwa na changamoto kulipa kutoka miezi 24 jinsi ilivyokuwa imependekeza kwenye mswada wa fedha wa mwaka 2025 hadi mwaka moja.Kwa habari hizo na nyingine ni katika mkusanyiko wa habari za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive