Biashara jijini zasalia kufungwa huku maandamano yakishuhudiwa nchini

  • | KBC Video
    4 views

    Biashara jijini Nairobi zilisalia kufungwa leo wakati waandamanaji walipofurika jijini kwa maandamano ya kuwakumbuka wenzao waliofariki mwaka jana wakati wa maandamano ya kupinga mswada wa fedha wa 2024. Giverson Maina anatueleza jinsi makumbusho hayo yalivyobadilika kuwa ghasia, watu kada wakijeruhiwa huku madaktari wa kujitolea wakiwahudumia majeruhi na wengine wakipelekewa katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta kwa matibabu maalum.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive