Biashara katikati mwa jiji la Nairobi zilitatizika kwenye maandamano

  • | Citizen TV
    2,691 views

    Biashara katikati mwa jiji la Nairobi zilitatizika kwenye maandamano ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu juni 25 mwaka jana, ambapo watu zaidi ya 60 waliuawa.japo wafanyibiashara hao waliweka mikakati ya kujikinga, nipe nikupe ya waandamanaji na polisi ilikuwa ngoma.