Biashara ya vyuma vikukuu ni marufuku madogo

  • | Citizen TV
    152 views

    Kamati ya usalama ya kaunti ya Tana River imepiga marufuku biashara ya vyuma vikukuu katika mji wa Madogo hadi pale kamati hiyo itakapotoa mwongozo kuhusu biashara hiyo.