Biashara zimerejelea hali ya kawaida katika mji wa Siaya

  • | Citizen TV
    1,007 views

    Biashara katika mji wa Siaya imeanza kurejelea hali ya kawaida baada ya maandamano ya jana ya viongozi na wafuasi wa Azimio. Wachuuzi na wafanyibiashara wa Samaki wanakadiria hasara kubwa baada ya baadhi ya waandamanaji kuvamia biashara zao na kupora. wahudumu katika soko kuu la Siaya waliathirika vibaya. afisi ya chama cha UDA iliteketezwa kwenye maandamano hayo yaliyokuwa yameandaliwa kulalamikia kupanda kwa gharama ya Maisha.