'Biashara zimewatawala wanawaambia watoto wale viporo'

  • | BBC Swahili
    269 views
    Licha ya mkoa wa Mbeya kuwa miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa chakula na aina mbalimbali za matunda nchini Tanzania , asilimia 37.7 ya watoto wa mkoa huo wameathirika na utapiamlo na udumavu Mwandishi wa BBC Humphrey mgonja alitembelea mkoa huo nakuandaa taarifa hii - 🎥Nicholaus Mtenga - #bbcswahili #tanzania #mbeya