Bibi wa miaka 80 ashinda mamia ya medali za kuogelea

  • | BBC Swahili
    617 views
    Bibi Bakulaben Patel mwenye umri wa miaka 80 ni bingwa wa kuogelea kutoka Surat Magharibi mwa India. Alianza kuogelea akiwa na umri wa miaka 58 na tangu wakati huo ameshinda karibu medali 500 katika mashindano ya kitaifa na kimataifa. Pamoja na hamu ya kuwafundisha wengine, anataka kuweka rekodi ya dunia #bbcswahili #india #mchezowakuogelea Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw