Bibilia imetafsiriwa katika lugha asili ya Wachonyi

  • | NTV Video
    313 views

    Bibilia La Wachonyi

    Jamii ya Wachonyi katika kaunti ya Kilifi ina sababu mpya ya kusherehekea, kutokana na agano jipya la Biblia kutafsiriwa katika lugha yao ya asili, marufu 'Chilagane Chisha' #NTVAdhuhuri @MwakaFridah