BIDEN AONDOA VIKWAZO VYA TRUMP KWENYE VIZA ZA KUINGIA MAREKANI

  • | VOA Swahili
    Rais wa marekani Joe Biden akiwa anaendelea na mipango yake ya kubadili sera na sheria zilizowekwa wakati wa utawala wa Trump, Jumatano alisaini amri ya kiutendaji kuhusu uhamiaji. Amri hiyo inaondoa marufuku ya muda iliyowekwa ya utoaji viza za uhamiaji wakati wa janga la corona.#DL #VOA